0%
Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.

Uchunguzi wa changamoto ya upatikanaji wa utambuzi na matibabu ya wagonjwa walio na saratani ya Neuroendocrine.

Umenukuliwa kwa kingereza kama (Umenukiliwa kama- SCAN-Survey of challenges in Access to Diagnostics and Treament for Neuroendocrine Tumors Patients). Umenulikwa kushiriki katika SCAN- ambao ni uchunguzi wa kimataifa ya changamoto ambayo wagonjwa wa saratani ya neuroendocrine hukutana wakati ambapo anapitia katika mfumo wa huduma ya afya. Uchunguzi huu unafanywa na  (International Neuroendocrine Cancer Alliance-INCA)ambao ni Ushirikiano wa kimataifa wa saratani ya Neuroendocrine ili kuelewa ugonjwa huu na kusaidia wagonjwa wa saratani ya Neuroendocrine katika ufikiaji wao ya utambuzi na matibabu ulimwenguni kote na kusaidia kuboresha ufikiaji huo.

Utafiti huu sio wazi. Haitachukua taarifa yoyote ya kibinafsi ambayo inaweza kukuhusisha na majibu yako. Ikiwa wewe ni mgonjwa wa saratani ya neuroendocrine, mtu wa familia, mwenzi au rafiki anayechunga mgonjwa wa saratani ya neuroendocrine au mchungaji anayelipwa kupeana huduma kwa mgojwa wa neuroendocrine, tafadhali shiriki uzoefu wako.

Itachukuwa kama dakika 20 hivi ya masaa yako. Kabla hujashiriki katika uchunguzi huu, kuna maswali chache ili kuamuwa ikiwa utahitimu.

Asante kwa usaidizi wako.

 

Sera ya faragha ya inapatikana INCA
Sera ya faragha ya inapatikana Limesurvey
(This question is mandatory)
S1. Wewe ni: