0%
Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.

Mpendwa mhudumu wa afya, unaalikwa kushiriki katika uchunguzi wa changamoto ya upatikanaji wa utambuzi na matibabu ya wagonjwa walio na saratani ya Neuroendocrine (Umenukiliwa kama- Survey of challenges in Access to Diagnostics and Treament for Neuroendocrine Tumors Patients SCAN).

SCAN ni uchunguzi wa kimataifa unayolenga kuelewa utayari wa mfumo wa huduma ya afya ulimwenguni kushugulikia mahitaji ya wagonjwa wa saratani ya Neuroendocrine. Haijalishi kiwango chako cha ushiriki wa kitaalamu na saratani wa Neuroendocrine (NETs), tutashukuru ikiwa utashiriki maoni yako na sisi.

Uchunguzi hautachukua muda zaidi ya dakika 10 kukamilisha. SCAN unafanywa na Ushirikiano wa kimataifa wa saratani ya Neuroendocrine (International Neuroendocrine Cancer Alliance-INCA) ili kuelewa ugonjwa huu na kusaidia wagonjwa wa saratani ya Neuroendocrine katika ufikiaji wao ya utambuzi na matibabu ulimwenguni kote.

Kushiriki kwako katika uchunguzi huu hautajulikana kabisa. Asante mapema kwa kushiriki!            

Sera ya faragha ya INCA
Sera ya faragha ya Limesurvey

(This question is mandatory)
S6. Ni nini eneo lako kubwa la Utalamu?
S6t Zingine (Tafadhali, taja)